TAZAMA MTOTO WA AJABU ALIYEZALIWA HOSPITALI YA MKOA WA SHINYANGA

Maskini Huyu mtoto amezaliwa  katika hospitali ya serikali ya Shinyanga akiwa na Vingo sehemu zisizo sahihi na baada ya muda alifariki Dunia
Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi....