Kundi la madaktari wa upasuaji kutoka Afrika kusini limefanikiwa upandikizaji wa uume wa mwanadamu.
Inadaiwa kuwa jaribio la pili la upasuaji huo kufanywa.
Madaktari wanasema kuwa mgonjwa aliyefanyiwa upandikishaji huo amepona.
Uume wake ulikatwa baada ya matatizo yaliosababishwa na kupashwa tohara