Picha Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndugu Zitto Z.Kabwe akihutubia umati mkubwa wa wana Songea waliohudhuria kumsikiliza,ikiwa ni ziara yake ya kwanza toka ang'atuke katika chama cha CHADEMA.
Picha Hapa ni Mapokezi ya Viongozi wa Kitaifa wa chama cha ACT Wazalendo Songea Afande Sele akisalimia wanamkutano Viongozi wa Kitaifa wa ACT Wazalendo
Wanasongea wakiwa kwenye mkutano wa chama cha ACT Wazalendo hii leo Wanahabari wakiwahoji viongozi Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Tanzania Bara akisalimia na kuongea na wanamkutano Wana Songea wakisikiliza hotuba
Mpekuzi blo











