NEWCASTLE UNITED 0 vs 2 LIVERPOOL, RAHEEM STERLING NA ALLEN WAIPATIA USHINDIA LIVERPOOL UGENINI!!


Joe Allen dakika ya 70 kipindi cha pili aliwapachikia Liverpool bao la pili na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Newcastle United. 
 
 Raheem Sterling dakika ya 9 anaipachikia bao Liverpool na kufanya 1-0 dhidi ya Newcastle United. 

Hadi mapumziko Liverpool walikuwa wanaongoza kwa bao hilo la Raheem Sterling.
VIKOSI:
Liverpool Wanaoanza:
Mignolet, Johnson, Can, Lovren, Moreno, Allen, Lucas, Henderson, Ibe, Coutinho, Sterling

Liverpool Akiba: Jones, Toure, Lambert, Manquillo, Borini, Brannagan, Markovic 

Newcastle United Wanaoanza: Krul, R.Taylor, Janmaat, Williamson, Colback, Anita, Abeid, Sissoko, Cabella, Obertan, Perez.

Newcastle Akiba: Elliot, Sterry, Gouffran, Gutierrez, Ameobi, Armstong, Riviere