ARSENAL WATWAA KOMBE LA FA WAWVUNJA REKODI YA KULIBEBA MARA NYINGI

arsenal
 
ARSENAL wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la FA baada ya kuichapa Aston Villa magoli 4-0 katika mechi ya fainali iliyomalizika usiku huu uwanja wa Emirates.
 
Vijana hao wa Arsene Wenger wameweza kutetea kombe lao la FA baada ya kutwaa tena msimu uliopita.
 
Arsenal inakuwa timu ya kwanza kihistoria England kutwaa kombe la FA kwa mara ya 12 .
 
Theo Walcott thought he'd done enough to give Arsenal the lead with this close range effort before Kieran Richardson's (left) block
 
Theo Walcotti alikuwa wa kwanza kuifungia Arsenal goli la kuongoza katika dakika ya 40.
 
Dakika ya 50, Alexis Sanchez aliandika goli la pili, kabla ya Per Mertesacker kufunga la tatu dakika ya 62′.
 
Olivier Giroud alihitimisha karamu ya magoli kufuatia kutia kimiani goli la nne katika dakika ya 90.