
Msanii wa rnb amemchimba mkwara mwanamitindo wa kiume
Tyson Beckford ambaye hivi karibuni ameonekana kuwa karibu sana na
aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown ‘Karrueche Tran’ .
Chris Brown alitumia twitter kuandika maneno haya “U wanna keep walking them runways. I need ta legs for that,” Hii ni baada ya Tyson kuweka picha instagram akiwa na K Tran mjini Las Vegas.