
Chris Brown amemuomba msamaha model Tyson Beckford baada ya kumtishia kupitia twitter.
Chris alifanya hivyo baada ya kuona ukaribu wa Tyson na aliyekuwa mpenzi wake ‘Karrueche Tran’ hivi karibuni mjini Las Vegas.
Tyson naye aliweka video akijifunza kutumia bunguki kwenye eneo la jeshi na kujibu mashambulizi ya Chris Brown.
Hizi ndio twit za Brown

