DIAMOND PLATNUMZ KUTOA WIMBO NA MR FLAVOUR WA NIGERIA

 diamond platnumz

Baada ya kufanya wimbo na P Square, msanii Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa video yake aliyofanya na Mr Flavour wa Nigeria imekamilika na imeshapelekwa kwenye kiyuo cha televion cha Kimataifa BET.
 diamond/BET