
Samatta ni mtanzania anayechezea klabu ya
TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo [DRC] na ni miongoni mwa
wacheza soka wa Kitanzania wanaolipwa zaidi wanaocheza nje ya nchi.
Samatta ameshare na mashabiki wake wa soka ride mpya anayoendesha
akiwa mitaa ya Congo. Gari hii ni Range Rover nyekundu lenye namba za
usajili za Tanzania.


