"UTAMADUNI" CHOMBO CHA UKOMBOZI AFRIKA

Utamaduni ulivyokomboa, kutengeneza sura ya Afrika

Katika kila jamii kuna shughuli na tabia ambazo huwatambulisha wao kama jamii fulani.

Kwa mfano; ufugaji wa ng'ombe kwa jamii ya Wamasai au uvaaji wa hijabu katika jamii za Kiislamu
kama Zanzibar ni mambo yanayozitambulisha kwa uharaka jamii hizo.  

Kwa msingi huo, utamaduni ni jinsi au namna watu wa mila fulani wanavyoishi kulingana na mila na desturi zao, tabia na shughuli zao
 
Vilevile utamaduni unahusisha sanaa ambazo hutambulisha taasisi au jamii fulani.  

Kwa mfano,Wamakonde na uchongaji wa vinyago na ngoma yao Sindimba ama Wamasai kwa ufundi wa kusuka nywele aina ya sangita kama si mavazi yao aina ya lubega huku wakiwa wamening'iniza sime kiunoni.

Katika karne ya 20 utamaduni ulimwenguni ulikua na kuwa kama nyanja muhimu katika elimu ya asili ya binadamu kuhusiana na mambo yote ambayo sio matokeo ya kijinsia.

 Nchini Marekani, elimu hii humaanisha uwezo wa binadamu kutambua na kuonesha tabia za kibinadamu na ubunifu katika kufanya vitu mbalimbali kwenye jamii na jinsi watu wanavyoishi sehemu mbalimbali ulimwenguni.
 
Barani Afrika kulikuwa na tamaduni ambazo watu walikuwa nazo kabla ya kuja kwa wakoloni katika
karne 19 na zimeendelea kudumu hadi leo.

 Waafrika wamekuwa wakitumia tamaduni zao kama njia ya maisha yao ya kila siku kupitia sanaa, ubunifu, ufundi na ujuzi mwingine katika kuendesha maisha yao.
 
Hata hivyo, baada ya kuja kwa wakoloni utamaduni wa Kiafrika uliharibiwa na kuvurugwa kwa kiasi
fulani.

 Wakoloni walipuuza tamaduni za Waafrika na kuingiza tamaduni zao. Walipuuza tamaduni kama
jando na unyago, michoro ya asili na viwanda vidogo vidogo vya mikono.

 Badala yake wakaingiza tamaduni zao kama staili za kuvaa za kizungu, dini, elimu ya kikoloni na sanaa zao.


Hii yote ni kwa sababu wakoloni lengo lao kubwa ilikuwa ni kuwaibia Waafrika rasilimali zao. 

Lakini Waafrika waliendelea kufanya tamaduni zao kwa siri na kuzihifadhi na kwa sehemu kubwa walitumia utamaduni zao kama chombo cha ukombozi.

 Katika Tanganyika waliibuka wasanii wengi ambao Mfano mzuri ni Shaaban Robert ambaye alikuwa mtunzi wa mashairi na mwandishi wa riwaya. 

 Mtu huyu ana mchango mkubwa, si katika kuhamasisha ukombozi pekee, bali pia katika Lugha ya Kiswahili kwa sababu kazi zake zinatumika kwenye fasihi ya Kiswahili mashuleni na sehemu mbalimbali za kiuchumi au zisizo za kiuchumi. walitumia sanaa zao kuweka uzalendo na kuleta ukombozi katika nchi yao.
 
Robert alizaliwa mwaka 1909 katika kijiji cha Vitandani, karibu na Machui, kilomita 10 Kusini mwa jiji la Tanga.

 Alisoma katika Shule ya Msingi Msimbazi Dar es Salaam mwaka 1922 mpaka 1926. Aliajiriwa
na serikali ya wakoloni kama katibu kutoka mwaka 1926 mpaka 1944.  

Kutokana na kukaa kwa muda mrefu kwenye mji wa kihistoria ambao ulikuwa na utamaduni wa Kiswahili ilisababisha Shaaban kuwa Mbali na kuwa mwandishi pia alikuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Lugha ya Kiswahili kama wakala wa Kamati ya Kiswahili ya Afrika Mashariki (East Africa Swahili Committee), Shirika la Uchapaji la Vitabu la Afrika Mashariki (East African Literature Bureau) na Bodi ya Lugha ya

Shaaban Robert ameandika jumla ya vitabu 22 baadhi yake ikiwa ni Adili na Nduguze, Kusadikika,
Kufikirika, Wasifu wa Siti Bint Saad, Baada ya Miaka 50, Maisha Yangu, Masomo Yenye Adili na
Utenzi wa Vita ya Uhuru. 

Shaaban Robert alifariki dunia Juni 22, mwaka 1962 mkoani Tanga, yaani
Moja ya kazi zake iliandikwa kwenye gazeti la Mambo Leo, mwezi wa sita, 1932 ambayo iliitwa "Like Europe, Like Africa." Katika kazi hii Shaaban alisema: "Nina uhakika labda baada ya miaka mingi Akazidi kuandika Robert: "Bara kubwa masikini ambalo lilikuwa gizani kwa muda mrefu hata baada ya kuja kwa wakoloni, watu walikuwa wakioneshana vidole kwenye macho mchana wa jua kali, kila sehemu
 
Mbali na Shaaban Robert, pia kulikuwa na waandishi na watunzi mahiri kama Saadan Kandoro ambaye alizaliwa Desemba 8, mwaka 1926 mtaa wa Kisingira, Ujiji Kigoma. Mwaka 1954 alikuwa mmoja kati ya watu 17 ambao walianzisha chama kilicholeta uhuru wa Tanganyika cha Tanganyika African National

Aliendelea na siasa hadi akawa Katibu wa Tanu Dodoma na Tabora, baadaye alikuja kuwa Katibu Mkuuwa Tanu makao makuu.

 Kandoro alijifunza mashairi alipokuwa chuoni, kutokea hapo akawa mshairi
Mashairi yake yameandikwa kwenye magazeti mengi kama Mambo Leo, alishindana na watunzi wengine wa mashairi kama Shaaban Robert, Sheikh Amri Abeid, Salehe Kibwana, Mdanzi Hanasa, Mathias Mnyampala, Rajab Tambwe na wengine ambao pia walikuwa rafiki zake.

Mwaka 1969 alichaguliwa na Chama cha Usanifu wa Kiswahili na Ushairi Tanzania (Ukuta) kuwa
mmoja wa waamuzi katika mashindano ya mashairi kwenye Azimio la Arusha.

 Kama sehemu ya kumbukumbu ya Waafrika ambao walitumia mashairi kwa ajili ya ukombozi, Kigoda cha Mwalim Nyerere cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kiliandaa tamasha ambalo lina ujumbe wa kisanii kuhusu Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere, Profesa Issa Shivji alimzungumzia mmoja wa wapiganiu uhuru, Amilcar Cabral katika moja ya mashairi yake ambalo alisisitizia utamaduni ni kiini katika historia ya jamii husika, iwe kimawazo au kitabia.

 Katika utamaduni ndiko mtu anaweza kutengeneza historia, Utamaduni ni chombo cha ukombozi Afrika, yeyote kutoka kizazi cha uzalendo cha Afrika lazima alinde mwaka mmoja tu baada ya nchi yetu kupata uhuru.
 
 
atakayeturithi sisi atakuwa na uwezo wa kusema kama Ulaya, kama Afrika!"
kulikuwa na soko la biashara ya aibu, sasa mwanga wa ustaarabu unamulika."
Union (Tanu) jijini Dar es Salaam.
mahiri.
mashairi mbalimbali ya Mwalimu Nyerere.
ukombozi.
jamii fulani.
utamaduni wa Afrika kwa sababu ni moyo wa bara la Afrika.