VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ ft MR FLAVOUR -NANA
Diamond Platnumz amekamilisha collabo nyingine na msanii kutoka Nigeria ‘Mr Flavour’ wimbo umepewa jina ‘Nana’ na video imetayarishwa na GodFather .
Nipe comment yako hapa kupitia kijuz.blogspot.com zitamfikia Daimond Platnumz.
tazama video hapa