VIDEO; JAMIE FOXX ft CHRIS BROWN- ‘You Changed Me’

brown-foxx

Mwigizaji Jamie Foxx amefunguka kuhusu mpenzi wa maisha yake kwenye wimbo wa “You Changed Me” aliofanya na staa wa rnb Chris Brown. Video imetayarishwa na director X na pia Grace Gealy wa “Empire” ameigiza humu.

TAZAMA VIDEO; Asante Kwa Ushirikiano