EMPIRE YAKARIBIA KUTOKA ITAZAME HAPA



Empire Msimu wa pili uko njiani mtu wangu, tunahesabu siku chache kufikia tarehe 23 September ili tuweze kuenjoy ile series iliyoshika headlines kubwa sana duniani!

Kama wewe ni shabiki mkubwa wa Empire basi hii good news ikufikie, soundtrack 2 mpya za Empire zimetoka, hapa nazungumizia ‘No Doubt About It’ iliyomshirikisha Pitbul na Jussie Smollett anayeigiza kama (Jamal Lyon) wimbo huu umeandikwa na Ne-yo.



Kama trailer ya Empire Msimu wa 2 ilikupita nimeisogeza tena hapa chini, bonyeza play kuitazama.