JOB YUSTINO NDUGAI ACHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE LA 11

Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma wamemchagua  mheshimiwa  Job Yustino Ndugai kuwa spika wa bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania.
 
Katibu wa Bunge Mh Dkt Thomasi Kashilila Amemtangaza Mh Job ndugai  kuwa Spika wa Bunge la 11 baada ya Kujinyakulia Kura 254 sawa na 70% ya Kura zote zilizopigwa.
MhNdugai amewashinda Wagombea wengine kutoka vyama na makundi Mbalimbali

Mpekuzi blog