
Ross alipewa kifunga cha nje kwa muda mfupi baada ya kukabiliwa na kesi ya kumpiga mtu na bastola na kwa sasa jaji amesema Rozay anaweza kuwa huru kwenda kokote sababu aliyefungua kesi hio haishi maeneo karibu na Rozay.
Rozay haruhusiwi kwenda karibu na kijana aliyemfungulia kesi na hatakiwi kuondoka mjini Georgia bila kuoa taarifa.