LIVERPOOL YAIRUDISHA MAN UTD NAFASI YAKE YA 6

Livepool imepata ushindi wa kwanza tangu mwaka wa 2017 uanze baada ya kuondokewa na mchezaji wake mahiri wa Senegal Sadio Mane alipokwenda kujiunga na timu yake ya taifa katika mashindano ya AFCON

Mane amefunga magoli yote mawili ya majogoo hao wa Anfield katika dk ya 16 na 18 ya kipindi cha kwanza

Ushindi huo umewafanya Liver kufikisha alama 49 na kujikitta nafasi ya tano na kuishusha Man utd mpaka nafasi ya 6