Chelsea wanataka kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski ili kuja kuziba nafasi ya Diego Costa ambaye kocha Antonio Conte amesema hayupo katika mipango yake msimu ujao.
Palikuwa na taarifa kuwa Antonio Conte alimtema Diego Costa kwa njia ya SMS iliyokuwa na ujumbe kuwa staa huyo hayupo kwenye mipango yake msimu ujao.
Lewandowski, 28, atakuwa mziba nafasi mzuri wa Diego Costa

