MINAJ HATAHUDHURIA TUZO BET MWAKA HUU

Rapa Nicki Minaj hatohudhuria tuzo za BET mwaka huu kutokana na kuwania tuzo mmoja na rapa Remy Ma ambaye ametajwa kuwa na asilimia kubwa ya kushinda tuzo hio.

Nicki Minaj atakuwa na show ya kufanya kwenye tuzo za NBA siku mmoja baada ya tuzo za BET mwaka huu.

Kwenye kipengele hicho cha msanii bora wa HipHop wa Kike yupo Nicki Minaj, Remy Ma na mkali Cardi B