Rangi hii ya orange peach imekua inspired na viumbe wanaoishi kwenye maji,na inabeba ujumbe wa OPTIMISIM ikimaanisha MATUMAINI.
Mapambo na bidhaa mbalimbali zinazonekana kwa rangi hii
lakini pia na watu marufu mbalimbali duniani kama wanamuziki, model, wacheza filamupia walionekana ndani ya mavazi yenye rangi hii ya mwaka