Weezy ameandika tweet kama mvua za kulalamika,
“Kwa mashabiki wangu wote, nataka wote mjue kwamba album yangu haitatoka na haijatoka kwasababu Baby (Bird Man) na Cash Money Rec wamekataa kuitoa”.
Aliandika tweet nyingine,
“Hili sio kosa langu, naombeni sana mniwie radhi mashabiki wangu lakini zaidi kwangu mimi mwenyewe na familia yangu kwa kutuweka kwenye hali hii”.
Katika tweet nyingine Weezy alitishia kuondoka kwenye label hiyo,
“Nataka kuondoka kwenye label hii na sitaki kufanya chochote na hawa watu lakini bahati mbaya hiyo sio rahisi”
Na katika tweet nyingine aliongeza kuwa yeye amekuwa mfungwa pamoja na ubunifu wake
Lil Wayne ameishutumu label yake ya Young Money (YMCMB) kwa kuzuia kutoa album yake ya ‘Tha Carter V’ na kutishia kuondoka kwenye label hiyo.