Kampuni ya rangi Pantone imesema rangi ambayo itakuwa ikitumika sana sehemu nyingi mwaka 2017 ni Greenery.
PANTONE ni kampuni ambayo inahusika kuchagua rangi za mwaka,na kila ikifika December hutangaza rangi hiyo.
Kwa mwaka huu ni GREENERY mambo ya kijani na ulimwengu mzima unajaribu
kuhifadhi mazingira ,kupanda miti hivyo basi imekuja wakati muafaka rangi hii,
Pantone imesema kuwa, kwa kipindi cha mwaka wa 2017, rangi ijulikanayo kama Greenery ndio inayonoga zaidi.
Wataalamu wa mambo wanasema ''GREENERY ina signifies "new beginnings;" "the first day of spring;" "revive, restore, and renew."
Kwa wale walokuwa wanasubiri rangi ndo hii kazi kwenu, waweza itumia kuanzia mavazi,decor za nyumbani,na sehemu nyingine kama hizi kwenye urembo.
Na baadhi ya watumishi wa Mungu wametoa unabii kwa mwaka huu nakuita kuwa "MWAKA WA USTAWI"[Alisema Nabii GEO DAVIE tarehe 1 january 2017] kwa maana ya Rangi ya kijani "greenery" inamaanisha USTAWISHAJI
Wanamitindo mbalimbali pia walionekana kunoga vilivyo ndani ya rangi ya Greenery maeneo mbalimbali na kwenye red carpet
Akosua vee,Blogger from Ghana |
PAMBO LA TAA YA NDANI LA GREENERY