MBOWE: ACHENI KUWA MASHABIKI KWENYE SIASA

Na Meckison Helman

meckisonhelman@gmail.com


Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Mh Freeman Mbowe amewataka wananchi kuacha kuwa kama mashabiki kwenye siasa na badalayake kuwa wanachama hai ilikuweza kuungana na kuleta mabadiliko kwenye jamii na siasa kiujumula.

Akizungumuza wakati wa maandamano yaliyo fanyika mkoani Arusha Mh Mbowe alielezakuwa ili mabadiliko yaweze kutokea kwenye siasa na jamii kiujumula nilazima wananchi waweze Kubadilika na kuacha kuwa mashabiki kwenye saiasa na badadalayake waweze kujifunza na kuwa wanachama halisi.

“Hatuwezi kufanya mabadiliko kama tunakuja kwenye mikutano ya siasa kama mashabiki tuna hitaji kubadilika sasa na kuwa wanachama harali kwa kuwa tunahitaji chama chetu kiendelee kubadili maisha ya watanzania kuanzia kwenye wakulima, walimu, elimu, Pamoja na uchumi”alisema Mbowe.


 

Aidha Mh Mbowe aliongeza kuwa chama cha demokrasia na maendeleo kitaendelea kuandamana iwapo serikali haita weza kufanya mabadiliko ambayo chama hicho kinadai Hayoko sawa kwenye uongozi.

“Tutaendelea kuandamana kwasababu wenzetu hawajui uchungu wamaishayetu wananchi wakawaida hawapati hakizao za msingi kwahiyo kupitia maandamano haya kunasiku wataelewa na watafanya mabadiliko tunayoyahitaji”alisema Mbowe.

Naye aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dkt Willibrod Peter Slaa alieleza maelufu ya waandamanaji kuwa wanahitaji kuungana na kuwa kitu kimoja katika hali ya kuweza kuleta mabadiliko kwenye jamii na taifaa ikiwemo na vyama vingine nchini.

“Tunahitaji kuungana sisi wote ilikuweza kuleta mabadilo kwenye hii nchi vyama vyote ikowemo vyama vya wavuvi, vyama vya wakulima, na vyamam vya wafanayakazi naomba tuungane pamoja tuweze kuikomboa Tanzania”

Pamoja na hayo Dkt Slaa aliongezea kwa kuiomba serikali kufanya mabadiliko ya katiiba

“Nichukue nafahii kuitaka serikali kufanya mabadiliko kwenye hii katiba haraka iwezekanavyo kwamaana katiba mpya ni sasa ili kufanya maendeleo kwenye jamii” alisema.

 Naye aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antiphas Lisu katika maandamano hayo alieleza namuna gharama zamaisha zinavyo zidi kupanda na kufanyamaisha ya watu kuwa magumu huku akiitaka serikali kufanya mabadiliko ya katiba ilikupunguza gharama za maisha kwenye jamii.