Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha tukio la kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo. ‘’Uchun…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetoa taarifa kwa Wateja wake na Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa, kutakuwa na upungufu wa hud…
Manchester United na Paris St-Germain wanaibuka kuwa mstari wa mbele kumsajili mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 25, msimu huu. (Independent) Newcastle United wanakaribia kukubaliana …
Na Meckison Helman meckisonhelman@gmail.com Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Mh Freeman Mbowe amewataka wananchi kuacha kuwa kama mashabiki kwenye siasa na badalayake kuwa wa…
Naibu Waziri wa Majeshi wa Uingereza James Heappey ameahidi kukutana na familia ya mwanamke Mkenya anayedaiwa kuuawa zaidi ya muongo mmoja uliopita na mwanajeshi wa Uingereza. Bw Heappy alikuwa a…
Ripoti hizo zimetangazwa leo Jumatano na shirika la habari la SANA linaloendeshwa na serikali ya Syria. Shirika hilo bila ya kutowa ufafanuzi zaidi limesema mashambulizi ya Israel yamelenga eneo la…
Tanzania imethibitisha visa vipya 53 vya ugonjwa wa corona nchini humo hatua inayoongeza idadi ya watu walioathirika na ugonjwa huo kufikia watu 147. Katika taarifa iliotumwa kwa vyombo vya h…